Showing posts with label Sport. Show all posts
Showing posts with label Sport. Show all posts

Friday, April 22, 2016

CLOUDS360 WATEKELEZA ''AGIZO'' LA RAIS JPM

Clouds360 watekeleza "agizo" la Rais.
Mwezi uliopita, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli alipiga simu katika kipindi cha ‪#‎Clouds360‬. Rais alishauri kwamba, itapendeza kama Watangazaji wa Clouds360 watakuja studio na wenza wao ili Watanzania wote wawaone.
Leo asubuhi, watangazaji Hudson Kamoga, Babbie Kabae na Samweli Sasali walitekeleza agizo hilo la Rais. Wenza wao Monica (Mke wa Hudson) Sadiq ( Mume wa Babbie) na Milembe (Mke wa Sam) walitinga kwenye kipindi.
Clouds360 ni kipindi namba moja cha Televisheni ambacho huruka J3 hadi Ijumaa kuanzia saa 12 hadi 4 kamili Asubuhi.
‪#‎CloudsMediaGroup‬
‪#‎TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka‬

Thursday, April 21, 2016

FAREED MUSA wa Azam kuelekea Hispania leo kwa Majaribio

winga chipukizi wa klabu ya Azam fc Fareed Mussa (wa katikati) leo hii anatarajia kuondoka nchini hapa na kuelekea Hispania kwa majaribio ya kucheza soka la kulipwa
    Fareed huko atafanya majaribio na timu za MALAGA na LAS PALMAS Atarejea tanzania may 19

Real Madrid to offer Cristiano Ronaldo new £16.5m-a-year contract after U-turn on star forward's future

Real Madrid look set to complete their U-turn on the future of Cristiano Ronaldo by offering him a contract extension that will keep him at the club until he is 35. 
Madrid president Florentino Perez started the season with the intention of cashing in on Real's all-time record goalscorer with Paris Saint-Germain ready to pay close to €100million (£80m) for his services.
But Ronaldo has broken the 30-goal barrier for the sixth straight season and Gareth Bale - the man Perez wants to replace the Portuguese star as Madrid's talisman - has again missed part of the season through injury.
There is unlikely to be any great change to Ronaldo's current £16.5m per year salary, rather Madrid have prioritised simply extending his stay at the club. 
Real Madrid look set to offer star striker Cristiano Ronaldo a new contract to keep him at the club until 2020
Real Madrid look set to offer star striker Cristiano Ronaldo a new contract to keep him at the club until 2020
The Portugal captain has been in prolific form this season and the Spanish giants are keen to retain him
Madrid need to buy big this summer because a FIFA transfer ban will begin in January 2017 and they need to raise money to fund the spending. 
Flogging Ronaldo whose current deal runs out in 2018 looked like being the best way of doing that. 
But there has been a change of plan at the Santiago Bernabeu and Colombian midfielder James Rodriguez and Spanish forward Isco now look like being the highly-priced sacrifices.

Wednesday, April 20, 2016

Arsenal 'lead race to sign Borussia Monchengladbach star Granit Xhaka'

Granit Xhaka has been linked with Arsenaln
Arsenal are reportedly confident of signing Borussia Monchengladbach's sought-after midfielder Granit Xhaka. The 23-year-old Swiss star has been linked to a host of clubs in recent months, but Gunners boss Arsene Wenger is said to have stolen a march on his rivals.
Xhaka is regarded as one of the best young midfielders in Europe and is apparently a long-term target of the north London club. Wenger is in desperate need of a player to fill the defensive midfield role this summer and the Frenchman sees Xhaka as the perfect candidate for the job.
Liverpool and Chelsea have also been credited with an interest in the eye-catching player, butArsenal are leading the extensive queue for his signature, according to ESPN.
Arsenal have opened preliminary talks with Monchengladbach over a transfer, sources close to the situation have claimed. What's more, it is said Xhaka is keen on a move to Emirates Stadium, havingpreviously stated his desire to play in the Premier League.
However, the eventual transfer fee may transpire to be a sticking point, with the German club demanding a fee of £34m ($48.8m) for their prized asset and Arsenal are not willing to pay more than £30m.

PICHA 5 ZA MKUU WA WILAYA MPYA WA KINONDONI AKIWA CLOUDS

Leo mkuu wa wilya ya kinondoni ametembelea ofisi za clouds radio na Tv na kuonana na mkurugenzi mkee bwana Ruge Mutahaba pamija na kufanya mazungumzo na management ya Clouds Media pia mkuu wa wilaya huyo atapata nafasi ya kuwepo kwenye kipindi cha jahazi jioni




Tuesday, April 19, 2016

Manchester United put back season ticket renewal date to fuel Mourinho speculation


Mourinho could become the next United manager
Manchester United have put back the renewal date for season ticket holders amid the likelihood Jose Mourinho will take over as manager in the summer.
United have sent season ticket holders an email informing them the deadline for renewing is now June 1 instead of May 20, citing the club's possible participation in the FA Cup final.
However, the move has further aroused suspicion that the club is planning on a change of manager, after Louis van Gaal was omitted from the pre-season tour promotional videolast month.
The email states: "Having qualified for the FA Cup semi-final after a thrilling replay against West Ham United, and with the club aiming to progress to the FA Cup final, we have decided to move the season ticket renewal deadline back from Friday 20th May, to Wednesday 1st June in order to give supporters more time to pay."Mourinho could become the next United manager

Supporters have the option of an 'early bird' deadline offer, in which they would be rewarded with a 'free, exclusive, limited-edition club scarf'.
M.E.N. Sport reported at the weekend Mourinho is now 'certain' he will replace Van Gaal , whose management has irked thousands of matchgoers, in the summer.
United supporters from different generations have insisted they will not renew for next season if Van Gaal remains in charge. The Dutchman has become infamous for his sterile style of football during his 20 months in charge of United

Chris Brown Seen In The Studio With Drake

Reported by TMZ, it looks like Chris Brown and Drake are putting their differences behind them to spend some time in the recording studio. The “Loyal” hit-maker was photographed over a mixing board with the Canadian rapper at his side, squashing rumors that the pair have beef over romancing the elusive Rihanna.
It’s unclear whether or not the two are recording a song together, or one of them is playing the other a track and looking for feedback. With a new Drake album apparently on the way (ever since he put out the hot new track “0 to 1oo”), there’s a chance Brown could be lending a verse onto the rumored LP.
Who knows? Chris Brown could be doing some last-minute recording for his long-awaited album X, which was supposed to drop last summer and still hasn’t seen the light of day.

Friday, April 15, 2016

Get New WhatsApp

EMMANUEL ELIAS owner wa SwaggssTV Leo naanza kuisambaza rasmi WhatsApp mpya yenye sifa zifwatazo
1 imepewa uwezo wa kubadili theme's zaidi ya mia tano
2 Hii WhatsApp inauwezo waku kukujulisha kila MTU aye ingi online
3 inauwezo wa
kufanya kazi kwenye tablets na siku za kawaida
4 ni bure

JINSI YA KUIPATA NIKWAKUTUMIWA KWA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK AU EMAIL

KWA FACEBOOK BOFYA HAPA >>> FACEBOOK AU >>EMMANUEL
KWA EMAIL NICHEK HAPA >>>>> EMAIL
INSTAGRAM NA TWITTER NICHEK HAPA >>>> INSTAGRAM >> TWITTER

KWA MAELEZO ZAIDI NICHEK HAPA 0712 396230
NB: hii WhatsApp haipo PLAY STORE

Thursday, April 14, 2016

New video RAYMOND-#KWETU

unaweza nifwatilia facebook/twitter/instagram click hapa FACEBOOK INSTAGRAM





unaweza nifwatilia facebook/twitter/instagram click hapa FACEBOOK INSTAGRAM

Sunday, April 10, 2016

Manny Pacquiao amchapa Tim Bradley

Bondia Mfilipino Manny Pacquiao amemchapa bondia kutoka Marekani Tim Bradley katika pigano lake la mwisho.
Mfilipino huyo ambaye alishindwa katika pigano lake kuu dhidi ya bondia tajiri zaidi duniani Floyd Mayweather amekuwa bingwa katika vitengo mbali mbali katika kipindi cha miaka 21 iliyopita tangu alipoanza ndondi.
Pacquiao alishinda kwa wingi wa pointi katika pigano hilo lililokuwa likitazamiwa na wengiPacquiao, amekuwa mbunge tangu mwaka wa 2010.
Amesema kuwa anastaafu ndondi za kulipwa iliawahudumie wananchi kisiasa.
Mfilipino huyo mcha mungu na muaniaji kiti cha useneta nchini kwao alithibitisha udedea wake ulingoni alipomuadhibu vikali mmarekani huyo..

Friday, February 12, 2016

Ligi kuu Tanzania kuendelea tena

Mshikemshike wa ligi kuu Tanzania bara utaendelea tena wikiendi hii ambapo jumamosi kutapigwa jumla ya michezo mitano.
Stand United watakua wenyeji wa Wekundu wa msimbazi Simba Sport klabu, huku Mgambo Jkt wakipimana ubavu na African Sport.
Mbeya City wao watakua katika dimba lao la sokoine mjini Mbeya, kuwaalika wanakishamapanda timu ya Toto Afrikans toka Mkoani Mwanza.
Majimaji watakuwa wageni wa Ndanda Fc mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Nangwanda sijaona huko mkoani mtwara, Jkt Ruvu watakipiga na Kagera Sugar.
Ligi hiyo itaendelea tena siku ya jumapili kwa michezo miwili kuchezwa Mwadui Fc watapima ubavu na Tanzania Prisons, huku Coastal Union wakiwaalika Azam Fc
habari kutoka bbc swahili

Saturday, January 30, 2016

Mbwana Samatta Akitambulishwa UBELIGIJI

Mchezaji Mbwana Ally Samatta akitambulishwa kwenye timu yake mpya RACING GENK huko nhini ubeligiji

Thursday, January 28, 2016

download More Music --skendo-

DOWNLOAD Msami -MABAWA MP3

Picha ya msichana mrembo zaidi duniani

Jilien Alen
huyu ni msichana kutoka bara la ulaya ambaye ameingia kwenye jopo la wasichna wanao pendekezwa kuwa ni wasichana warembo zaidi duniani Na hii nikutokana na uchunguzi unaoendeshwa na jarida maarufu sana nchini  marekani ambalo lina jishughulisha sana na urembo

Facebook yapata faida kubwa

kampuni ya mtandao wa kijamii wa Facebook umetangaza ongezeko kubwa la mapato na faida.miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2015,faida iliongezeka mara mbili zaidi ya dola bilioni moja na nusu ukilinganisha na mwaka 2014 katika kipindi kilekile.
Hisa ziliongezeka kwa saa baada ya kufanya biashara mjini new york na kupata kukidhi matarajio yao.Facebook kwa sasa imevuka kiwango ambacho wachambuzi wa masuala ya biashara walichokuwa wanakitarajira zaidi ya mara kumi katika kipindi cha miezi mitatu.
Kampuni hii iliyoko Califonia inasema watu wengi walikuwa wanatumia simu zao za mkono ili kuangalia tovuti zao na kupelekea kiwango cha asilimia themanini ya mapato katika sekta ya matangazo.

news from bbc

Uganda watupwa nje michuano ya Chan

Zambia na Mali zimefuzu kwa robo fainali ya michuano ya kombe la taifa bingwa Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani baada ya kutoka sare mechi iliyochezwa Jumatano.
Chipolopolo tayari walikuwa wamefuzu kabla ya mechi hiyo nao Mali walijihakikishia nafasi ya kufuzu kwa kupata alama hiyo moja kwa kutoka sare tasa uwanjani Rubavu.
Katika mechi nyingine ya Kundi D, Zimbabwe walitoka sare na Uganda, baada ya Cranes kusawazisha dakika ya 93.
William Manondo alikuwa ameweka Zimbabwe kifua mbele lakini Geofrey Serunkuma akasawazisha dakika za mwisho.
Uganda walihitaji kuishinda Zimbabwe nao Mali washindwe na Zambia ndipo wapate nafasi ya kufuzu.
Kwenye Kundi hilo, Zambia walimaliza kileleni na alama 7, Mali wa pili na alama 5, Uganda tatu na alama 2 nao Zimbabwe wakashika mkia na alama 1.
Mechi za robofainali zitachezwa Jumamosi na Jumapili, mechi inayosubiriwa sana ikiwa kati ya wenyeji Rwanda na majirani wao DR Congo Jumamosi uwanjani Amahoro.



habari kwa hisani ya bbc swahili