Showing posts with label music. Show all posts
Showing posts with label music. Show all posts
Saturday, April 23, 2016
Friday, April 22, 2016
LADY JAYDEE NDANI YA FRIDAY NIGHT LIVE (FNL)
#FNL (Saa 3:00 Usiku) USIKU WA JIDE
Leo ni usiku wake, Malkia wa Bongo fleva Lady Jaydee, kwenye Exclusive interview ndani ya #FNL saa 3:00 usiku akitambulisha video yake mpya ya NDINDINDI. Atafunguka mengi ambayo ungependa kuyajua, maisha yake na muziki wake. Hii si ya kukosa na inatokea mara moja tu.
Tuesday, April 19, 2016
Chris Brown Seen In The Studio With Drake
RELATED ARTISTS: Trey Songz, Usher, Chris Brown & Tyga, Omarion, August Alsina, Ne-Yo, Kid Ink, Mario,Jason DerĂ¼lo, T-Pain
Reported by TMZ, it looks like Chris Brown and Drake are putting their differences behind them to spend some time in the recording studio. The “Loyal” hit-maker was photographed over a mixing board with the Canadian rapper at his side, squashing rumors that the pair have beef over romancing the elusive Rihanna.
It’s unclear whether or not the two are recording a song together, or one of them is playing the other a track and looking for feedback. With a new Drake album apparently on the way (ever since he put out the hot new track “0 to 1oo”), there’s a chance Brown could be lending a verse onto the rumored LP.
Who knows? Chris Brown could be doing some last-minute recording for his long-awaited album X, which was supposed to drop last summer and still hasn’t seen the light of day.
Friday, April 15, 2016
Get New WhatsApp
EMMANUEL ELIAS owner wa SwaggssTV Leo naanza kuisambaza rasmi WhatsApp mpya yenye sifa zifwatazo
1 imepewa uwezo wa kubadili theme's zaidi ya mia tano
1 imepewa uwezo wa kubadili theme's zaidi ya mia tano
2 Hii WhatsApp inauwezo waku kukujulisha kila MTU aye ingi online
3 inauwezo wa
kufanya kazi kwenye tablets na siku za kawaida
kufanya kazi kwenye tablets na siku za kawaida
4 ni bure
JINSI YA KUIPATA NIKWAKUTUMIWA KWA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK AU EMAIL
KWA EMAIL NICHEK HAPA >>>>> EMAIL
KWA MAELEZO ZAIDI NICHEK HAPA 0712 396230
NB: hii WhatsApp haipo PLAY STORE
Thursday, April 14, 2016
Friday, February 12, 2016
Monday, February 1, 2016
Friday, January 29, 2016
Thursday, January 28, 2016
Saturday, January 23, 2016
Lupita Nyong'o azikosoa tuzo za Oscars
Mcheza filamu raia wa kenya Lupita
Nyong'o ameungana na wacheza filamu wengine kushutumu kutojumuishwa kwa
wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya wale
wanaowania tuzo za Oscars.
Katika akaunti yake ya Istagram Lupita amesema amekasirishwa sana na kukosa kujumuishwa kwa wacheza filamu weusi.from bbc
Friday, January 22, 2016
Man Utd wakana kukutana na Guardiola
Manchester United wamekanusha
habari kwamba walikutana na kuzungumza na meneja wa Bayern Munich Pep
Guardiola kuhusu uwezekano wake kuwa meneja wao.
Tovuti ya France Football ilikuwa imesema mkutano huo ulifanyika mjini Paris lakini United wamesema habari hizo si za kweli.Meneja wa sasa wa United Louis van Gaal amekabiliwa na shinikizo baada ya klabu hiyo kutofanya vyema ligini Uingereza na Ulaya..
Guardiola, 45, anataondoka Bayern Munich majira yajayo ya joto na amesema amepokea maombi kutoka kwa klabu kadha za Uingereza.
Manchester City wamo kwenye nafasi nzuri ya kumchukua, lakini Chelsea na United wamedaiwa kumtafuta pia.
Bayern Munich walikuwa kwenye kambi ya mazoezi Doha wakati wa mapumziko ya msimu wa baridi na watarejea kucheza Ijumaa dhidi ya Hamburg.
habri kwa hisani ya bbc
Wednesday, January 20, 2016
CHAN: Rwanda yafuzu robofainali
Rwanda imekuwa timu ya kwanza kufuzu
kwa robofainali ya michuano ya taifa bingwa Afrika kwa wachezaji wa
ndani baada ya kuilaza Gabon.
Rwanda, ambao ni wenyeji, wameandikisha ushindi wa 2-1 dhidi ya Gabon, kwenye mechi hiyo iliyochezewa uwanja wa Amahoro.Mabao ya Rwanda yamefungwa na Sugira Ernest, la kwanza mwishoni mwa kipindi cha kwanza na la pili mapema kipindi cha pili.
Rwanda ilifungua michuano hii kwa kucharaza Ivory Coast, ambao watakutana na Morocco baadaye leo, mabao 1 -0.
Monday, January 18, 2016
Van Gaal:Bado tuna fursa ya kushinda ligi
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa kilabu yake bado ina fursa ya kushinda ligi ya Uingereza.'
Mshetani
wekundu' kama wanavyojiita waliishinda Liverpool 1-0 katika uwanja wa
Anfield siku ya jumapili na kupanda hadi nafasi ya tano katika jedwali
la ligi hiyo,wakiwa pointi saba pekee nyuma ya viongozi wa ligi hiyo
Arsenal na Leicester ilio nafasi ya pili.''Kuna mechi nyingi ambazo zimesalia'',alisema Van Gaal alipoulizwa iwapo timu yake itapigania taji hilo.
''Ni lazima tuendelee'',ijapokuwa si rahisi,lakini tunaweza kufanikiwa kwa sababu tunaonyesha kila wiki kwamba tunaweza''.
United ilipunguza mwanya uliopo kati yake na viongozi wa ligi hiyo Arsenal na Leicester baada ya timu hizo mbili kupata droo, ijapokuwa Manchester City iliopo katika nafasi ya tatu pamoja na Tottenham iliopo nafasi ya nne.
kwa hisani ya bbc swahili
Monday, January 4, 2016
Subscribe to:
Comments (Atom)

ARTISTS:











