Monday, January 25, 2016

ALICHOKIANDIKA MBUNGE WA BUNDA ESTHER BULAYA KWENYE TWITTER YAKE

ALICHOKIANDIKA MBUNGE WA BUNDA, MH ESTER BULAYA KATIKA UKURASA WAKE WA TWITTER.

''Nimemshinda Wasira kwa wananchi na leo nimemshinda mahakamani. Mahakama imetupilia mbali kesi yake dhidi ya. Ushindi wangu.''

#Mwananchi25Januari2016

No comments:

Post a Comment